27.02.2019 Taarifa ya habari asubuhi | IDHAA YA KISWAHILI | DW | 27.02.2019
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

IDHAA YA KISWAHILI

27.02.2019 Taarifa ya habari asubuhi

Rais Trump na kiongozi wa Korea Kaskazini Kim Jong Un wanaanza leo mkutano wao wa pili wa kilele nchini Vietnam // Urusi inasema inamini Marekani inapanga kuingilia kijeshi nchini Venezuela // Na Rais wa Nigeria Muhammadu Buhari amechaguliwa tena kuongoza kwa muhula wa pili

Sikiliza sauti 07:59