1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

26.11.2021 Matangazo ya Mchana

SK2 / S02S26 Novemba 2021

Wanasayansi nchini Afrika Kusini wameingiwa na wasiwasi wa aina mpya ya kirusi cha corona+++Ethiopia yaitaka Marekani kuacha kusambaza taarifa za uwongo+++Mike Sonko amekuwa akifichua yale anayodai ni ufisadi na uozo katika idara ya mahakama nchini Kenya.

https://p.dw.com/p/43YEs