Nchi kadhaa za Ulaya zapanga kusitisha usafiri wa angaa kwa muda kuitoka Afrika Kusini+++Ni marufuku kutoa taarifa za harakati za kijeshi Ethiopia+++Watu wenye silaha nchini Libya wameshambulia mahakama ambayo ilitakiwa kupokea rufaa ya mtoto wa kiongozi wa zamani wa Libya, Moamar Kadhafi.