26.11.2021 Matangazo ya Asubuhi | Media Center | DW | 26.11.2021
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Media Center

26.11.2021 Matangazo ya Asubuhi

Shinikizo linaloongezeka kutoka kwa jumuiya ya kimataifa kwa ajili ya kuzimaliza ghasia nchini Ethiopia halijafua dafu+++Nchini Iraq, familia zinazorejea za wapiganaji wa kundi linalojiita Dola la Kiislam IS zinahitaji usaidizi+++Tanzania- Uzinduzi wa kampeni 'Tembea Nyumbani'

Sikiliza sauti 51:59