26.11.2020 Matangazo ya Jioni | Media Center | DW | 26.11.2020
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Media Center

26.11.2020 Matangazo ya Jioni

Kufuatia hatua ya wanachama 19 wa chama kikuu cha upinzani Tanzania CHADEMA kuapishwa kuwa wabunge wa viti maalum kinyume na maagizo ya chama chao, hapo kesho chama hicho kimesema kuwa kitatoa uamuzi kuhusiana na hatua ya wabunge hao ambao baadhi ni viongozi waandamizi wa chama// Ulimwengu wa soka waomboleza kifo cha Diego Maradona.

Sikiliza sauti 60:00