1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

26.11.2019 Matangazo ya Mchana

SK2 / S02S26 Novemba 2019

Kuna wasiwasi kuhusu iwapo mpango wa kuwapatanisha wakenya wa BBI utaifikia dhamira yake, Wakenya na viongozi wakionekana kugawanyika kuhusu ripoti ya mpango huo// Serikali ya Kongo imetangaza kuanzishwa kwa operesheni ya pamoja baina ya jeshi na kikosi cha umoja wa mataifa Monusco,dhidi ya waasi wa Uganda wa ADF mjini BENI jimboni Kivu ya Kaskazini.

https://p.dw.com/p/3TkpT