26.10.2021 Matangazo ya Asubuhi | Media Center | DW | 26.10.2021
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Media Center

26.10.2021 Matangazo ya Asubuhi

Hali ya kisiasa nchini Sudan/ Congo: Kuna hatari vya kuvunjika muungano unaomuunga mkono Rais Tshisekedi, Union Sacrée/ Tunaangalia namna Afrika inavyojaribu kujitengenezea chanjo zake yenyewe/ Viongozi wa dunia watakutana Uingereza mwezi Novemba kwenye mkutano wa kilele kuhusu mazingira uliopewa jina la COP26/ Nakala ya tafsiri ya Kurani katika lugha ya Kalenjin imezinduliwa nchini Kenya

Sikiliza sauti 52:00