1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

26.10.2020 Taarifa ya habari asubuhi

Bruce Amani
26 Oktoba 2020

Mkuu wa Shirika la Afya Ulimwenguni atoa wito wa mshikamano wa kimataifa katika uzinduzi wa chanjo ya corona // Mpango mpya wa kusitisha mapigano watangazwa katika mkoa wa Nagorno-Karabakh // Na upinzani Belarus wajiandaa kwa migomo baada ya rais Lukashenko kukataa kujiuzulu

https://p.dw.com/p/3kQkc