1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

26.10.2018 Matangazo ya Mchana

SK2 / S02S26 Oktoba 2018

Watu kadhaa wamekufa na wengine wengi wamejeruhiwa baada ya jengo la ghorofa saba kuporomoka katika mji wa kitalii wa Malindi umbali wa kilomita 120 kaskazini mwa mji wa Bandari wa Mombasa, Kenya// Umoja wa Mataifa umesema mauaji ya mwandishi habari wa Saudi Arabia Jamal Khashoggi ni mauaji yalio kinyume cha sheria yaliopangwa na Ufalme wa Saudia.

https://p.dw.com/p/37FXT