1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

26.10.2018 Matangazo ya Jioni

SK2 / S02S26 Oktoba 2018

Idhaa ya Kiswahili ya DW leo imeandaa hafla maalum kwa ajili ya kumuombea na kumuaga Marehemu Isaac Muyenjwa Gamba. Ikumbukwe kuwa Gamba alikutwa amefariki dunia akiwa nyumbani wake mjini Bonn, Oktoba 18.

https://p.dw.com/p/37GBA