1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

26.10.2018 Matangazo ya Asubuhi

TSA / S08S26 Oktoba 2018

Bunge la Ethiopia lilimchagua jana Alhamisi Sahle-Work Zewde kuwa rais wa kwanza mwananmke wa nchi hiyo// Wachambuzi wa masuala ya kimataifa wanasema mkasa wa kuuliwa kwa mwandishi habari Jamal Khashoggi utainufaisha Qatar ambayo mnamo miezi ya hivi karibuni imekuwa inavutana na Saudi Arabia.

https://p.dw.com/p/37Eoa