Uchaguzi utarudiwa tarehe 28 mwezi huu katika maeneo manne ya Nyanza kutokana na machafuko ambayo yalitokea// Kiongozi wa jimbo la uhispania linalopigania kujitenga la Catalonia, Carles Puigdemont anapanga kuitisha uchaguzi haraka// Serikali ya Burundi imeidhinisha marekebisho ya katiba ambayo yatatoa fursa ya kurefushwa kwa uongozi wa Rais Pierre Nkurunzinza.