1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

26.10.2016 Matangazo ya jioni

SK2 / S02S26 Oktoba 2016

Marais wa nchi za kanda ya maziwa makuu wamekutana katika mkutano wa kilele wa siku moja huko Luanda, Angola// Wazanzibari wapatao 40,000 wanaripotiwa kuwasilisha kesi katika Mahakama ya Haki ya Afrika Mashariki wakihoji, pamoja na mambo mengine, uhalali wa Muungano wa mwaka 1964// Wapiganaji wa kundi la Dola la Kiislamu wameendelea kulinda maeneo yao kutokea upande wa kusini wa Mosul leo.

https://p.dw.com/p/2Rk0G