1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

26.09.2019 Matangazo ya Mchana

SK2 / S02S26 Septemba 2019

Matarajio ya vita na amani kutoka Mashariki ya Kati hadi bara la Ulaya, hadi Afrika ndiyo masuala yaliyotawala katika siku ya pili ya mkutano wa kila mwaka wa Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa// Waziri Mkuu wa Israel Benjamin Netanyahu ameanza zoezi gumu la kuunda serikali ya muungano wa vyama, baada ya kupata ridhaa ya rais wa nchi hiyo Reuven Rivlin hapo jana.

https://p.dw.com/p/3QHjI