Waasi wa FARC kusaini makubaliano ya amani/ Aleppo yatendewa ukatili - UN/ Hali ya mambo ndani ya chama cha upinzanni nchini Tanzania, Chama cha Wananchi (CUF) sasa si shwari baada ya aliyekuwa mwenyekiti wa chama hicho, Profesa Ibrahim Lipumba, kujirejesha katika wadhifa wake> Mahojiano/ Mzozo kuhusu kufanyiwa marekebisho mfumo wa uchaguzi nchini Kenya umeanza kuchipuka tena