26.08.2020 Matangazo ya Jioni | Media Center | DW | 26.08.2020
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Media Center

26.08.2020 Matangazo ya Jioni

Tanzania: NEC imewaonya wanasiasa waliogombea na kujitangazia ushindi kutokana na wapinzani wao kuenguliwa ikisema kuwa kitendo hicho ni kinyume cha sheria/ Lissu awawekea pingamizi Magufuli, Lipumba/ Burundi, Rwanda zaanza mazungumzo kurejesha mahusiano/ Mapigano yazuka upya kusini mwa Yemen/ Netanyahu: Israel inaangalia kwa umakini shambulizi la hivi karibuni katika mpaka na Lebanon

Sikiliza sauti 60:00