1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

26.07.2022 Matangazo ya Asubuhi

TSA / S08S26 Julai 2022

Huku Kenya ikijiandaa na uchaguzi hapo Agosti 9 mamilioni nchini humo wanakabiliwa na baa la njaa kutokana na kukosekana kwa mvua kwa miaka mitatu mfululizo+++Nchini Burundi unashuhudiwa uhaba mkubwa wa mafuta ya gari unaozidi kukithiri+++Serikali ya Tanzania imesema itaendelea na ujenzi wa bomba la mafuta ghafi pamoja na Uganda licha ya kuwepo malalamiko.

https://p.dw.com/p/4EeaC