1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

26.05.2020 Matangazo ya Mchana

SK2 / S02S26 Mei 2020

Mshindi wa kiti cha urais nchini Burundi, Evariste Ndayi-shimiye amesema ushindi wake ni wa raia wote// Siasa za Jamhuri ya kidemokrasia ya Congo zinazidi kupamba moto// Kanisa Katoliki nchini Kenya limeanza kampeni kuupinga mpango wa serikali wa kuanzisha mafunzo ya uzazi mashuleni kwenye mtaala mpya unaotekelezwa// WHO yaahirisha majaribio ya hydroxychloquine kwa COVID-19.

https://p.dw.com/p/3cmAi