Viongozi wa mataifa saba tajiri zaidi kiviwanda duniani waendelea huko Taormina, Italia// Polisi wanapewa mafunzo na Tume ya uwiano na maridhiano nchini Kenya ya kukabiliana na wanasiasa wachochezi wakati wa kampeni kabla ya uchaguzi mkuu ujao// Kongamano la kila mwaka la Kiswahili linaendelea katika Chuo Kikuu cha Bayreuth, kusini mwa Ujerumani.