Shirika la Afya Duniani laonya kuhusu kinga ya virusi vya corona wakati idadi ya vifo duniani ikipindukia 200,000 // Kundi la G20 lazindua mpango wa kuharakisha upatikanaji wa vifaa vya kupambana na virusi vya corona // Na maelfu ya Waisrael wafanya maandamano kupinga serikali ya umoja wa kitaifa