Miongoni mwa taarifa zilizoandaliwa ni: Rais wa Marekani Donald Trump amesema yuko tayari "kuisambaratisha Iran" ikiwa haitakubali makubaliano ya kukomesha vita / Bahari kote duniani zimevunja rekodi za kuwa na joto kwa miaka tisa mfululizo huku barafu za milimani zikizidi kuyeyuka