1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

26.03.2021 Matangazo ya Jioni

SK2 / S02S26 Machi 2021

Tanzania- Mwili wa Hayati John Pombe Magufuli Rais wa awamu ya tano wa taifa hilo aliyefariki tarehe 17.3.2021 kule Dar es Salaam umelala katika nyumba yake ya milele jioni hii katika makazi yake eneo la kilimani Chato// Serikali ya Kenya imesitisha safari zote kuingia na kutokea kaunti 5 zinazoaminika kuwa na idadi kubwa ya maambukizi ya COVID 19 katika kipindi cha wiki chache zilizopita.

https://p.dw.com/p/3rFV8