1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

26.03.2021 Matangazo ya Asubuhi

TSA / S08S26 Machi 2021

Tanzania- Leo ndiyo siku ambayo aliyekuwa rais wa awamu ya tano, Marehemu John Magufuli, analala katika nyumba yake ya milele baadaya kukamilisha safari yake ya maisha ya miaka 61// Shirika la madaktari wasio na mipaka lilisema hapo jana kwamba wafanyakazi wake waliokuwa wakisafiri katika eneo la Tigary nchini Ethiopia, walishuhudia wanajeshi wa nchi hiyo wakiwauwa kwa kuwapiga risasi raia wanne.

https://p.dw.com/p/3rDJ8