ACT Wazalendo yajitenga na vurugu za kisiasa Tanzania// Saudi Arabia, Kuwait na Bahrain zimeungana na nchi nyingine, kulaani hatua ya Rais Donald Trump wa Marekani kuitambua Milima ya Golan kama sehemu ya Israel//Brexit-Wabunge nchini Uingereza wamepiga kura ya kujipa mamlaka zaidi katika kufanya maamuzi ya mapendekezo mbali mbali.