1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

26.03.2019 Matangazo ya Jioni

SK2 / S02S26 Machi 2019

Zanzibar: Chama Cha Wananchi (CUF) leo kimefanikiwa kupandisha bendera yake// Siasa za Tanzania zimeendelea kuchukua sura mpya siku hadi siku// Waziri wa sheria Burundi amewataka wazazi kufuatilia malenzi ya watoto wao baada ya watoto 6 wa shule ya msingi katika mkoa wa Kirundo kaskazini mwa nchi hiyo, kuweka michoro katika picha za rais Nkurunziza zilio kwenye vitabu vya shule.

https://p.dw.com/p/3Fgrr