1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

26.03.2019 Matangazo ya Asubuhi

TSA / S08S26 Machi 2019

Brexit- waziri mkuu wa Uingereza Bi Theresa May anakubali kwamba haungwi mkono vya kutosha kupitisha mpango wake wa kujitoa katika Umoja wa Ulaya/ Syria: Nini kinafuata baada ya kukombolewa kwa ngome ya mwisho ya kundi linalojiita dola la kiislam IS?/ Nusu ya Idadi ya watoto wanaosoma katika shule za msingi na za upili katika kaunti ndogo ya Likoni jimbo la Mombasa wako kwenye makundi ya wahalifu.

https://p.dw.com/p/3Ff9Y