Mgonjwa wa Corona Ujerumani yuko mahututi/ Mashambulizi ya serikali ya Syria yasababisha vifo 20 Idlib/ Utulivu warudi New Delhi baada ya ghasia kuuwa watu 20/ Kenya: Majukumu muhimu ya serikali ya kaunti ya Nairobi yamekabidhiwa kwa serikali kuu ya Kenya, kufuatia makubaliano yaliosainiwa na Gavana wa Nairobi Mike Soko na Waziri wa Ugatuzi/ Mbio za kumtafuta kiongozi mpya wa CDU zashika kasi