26.02.2020 Matangazo ya Jioni | Media Center | DW | 26.02.2020
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Media Center

26.02.2020 Matangazo ya Jioni

WHO: Hakuna haja ya kuwa na hofu ya virusi vya Corona/ Hali katika mji mkuu wa India, New Delhi, imeanza kurejea ya kawaida baada ya ghasia kati ya waumini wa dini ya Kihindu na Waislamu> Mahojiano/ Mahasimu wa kisiasa wa Libya wamekutana leo katika mazungumzo yanayodhaminiwa na Umoja wa Mataifa mjini Geneva/ Nzige watua Congo

Sikiliza sauti 60:00