1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

26.02.2019 Matangazo ya Mchana

SK2 / S02S26 Februari 2019

Umoja wa Mataifa unawasihi wafadhili wakusanye dala bilioni 4.2 kugharamia msaada wa Yemen kwa mwaka huu// Waziri wa mambo ya nje wa Iran Mohammad Javad Zarif amejiuzulu ghafla// Ndege za kijeshi za Pakistan zimeshambulia kambi ya wanamgambo katika ardhi ya Pakistan hii leo// Kadinali wa Australia George Pell amepatikana na hatia ya kuwanyanyasa kingono wavulana wawili.

https://p.dw.com/p/3E7IZ