1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

26.02.2019 Matangazo ya Asubuhi

TSA / S08S26 Februari 2019

Umoja wa Mataifa umeomba misaada kutoka kwa wafadhili wanaohudhuria mkutano wa kimataifa unaofanyika mjini Geneva, Uswisi leo Jumanne tarehe 26 kwa ajili ya kuwasaidia watu wa Yemen/ Kiongozi wa Korea Kaskazini Kim Jong Un na rais wa Marekani Donald Trump watakutana wiki hii mjini Hanoi/ Mataifa ya Afrika yametakiwa kutenga bajeti ya kutosha ili kufanya tafiti za maendeleo katika sekta ya kilimo.

https://p.dw.com/p/3E6NZ