1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

26012022 Matangazo ya Asubuhi

TSA / S08S26 Januari 2022

Hali nchini Burkina Faso ni ya mashaka/ Ripoti inatazama ikiwa majeshi ya Afrika ni sehemu zaidi ya matatizo kuliko suluhisho?/ Tanzania: Serikali imetangaza kuwa itaanza kuwadhibiti wafanyabiashara wanaotumia mwanya wa soko huria kupandisha bei ya bidhaa/ Congo: Kutokana na uhaba wa vyakula kwenye kambi ya waathirika wa mlipuko wa volkano baadhi ya wanawake kujitumbukiza katika biashara ya Ngono

https://p.dw.com/p/465Gw