1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

26.01.2018 Matangazo ya jioni

SK2 / S02S26 Januari 2018

Rais wa Marekani, Donald Trump amewaonya washirika wake wa kibiashara kwamba Marekani haitovumilia biashara yoyote isiyo ya haki// Kiongozi wa upinzani nchini Kenya Raila Odinga anashikilia kuwa mpango wa kumuapisha kuwa rais wa tano bado upo// Rais Yoweri Museveni wa Uganda amewataka waafrika kufanya kila juhudi kuondokana na tofauti na uhasama wa kikabila.

https://p.dw.com/p/2rai9