25.11.2020 Matangazo ya Jioni | IDHAA YA KISWAHILI | DW | 25.11.2020
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

IDHAA YA KISWAHILI

25.11.2020 Matangazo ya Jioni

Gari lagonga lango la ofisi ya Kansela Merkel/ Rais Kenyatta na Odinga wazindua zoezi la kukusanya sahihi/ Waziri Mkuu wa Ethiopia Abiy Ahmed ameiambia jamii ya kimataifa isiuingilie mzozo unaoendelea katika jimbo la Tigray/ Siku ya Kimataifa Kupinga Ukatili Dhidi ya Wanawake/ UAE wasitisha zoezi la kutoa visa kwa raia wa nchi 13

Sikiliza sauti 60:00