1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

25.10.2021 Matangazo ya Jioni

SK2 / S02S25 Oktoba 2021

Yanayoendelea Sudan: Jeshi lavunja serikali ya mpito/ Je, ni kitu gani kinachowavutia wapiganaji wa kigeni kujiunga na waasi wa ADF na kwanini licha ya utawala wa kijeshi kuwepo mashariki mwa Congo, bado waasi wa ADF wanafanikiwa kufanya mashambulizi?/ Asasi za kiraia Tanzania zapinga kauli kutumiwa na wadhamini/ Mjerumani mfuasi wa IS ahukumiwa miaka 10 jela kwa kumuua binti wa Kiyazidi

https://p.dw.com/p/42AJw