1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

25.10.2019 Matangazo ya Jioni

SK2 / S02S25 Oktoba 2019

Tanzania- Mkutano wa mawaziri wa mazingira, maliasili na utalii kutoka nchi 16 za jumuiya ya maendeleo kusini mwa Afrika SADC// Waziri Mkuu wa Ethiopia aliyeshinda tuzo ya Nobel Abiy Ahmed anakabiliwa na changamoto kubwa zaidi katika uongozi wake/ Watumishi wa umma nchini Kenya sasa watalazimika kuvaa mavazi yaliyobuniwa na kutengenezwa nchini humo kila Ijumaa au siku za sikukuu.

https://p.dw.com/p/3Rxn0