Uhusiano wa Marekani na Umoja wa Mataifa ni wa aina gani?/ Tunatupia jicho kwa kina juu ya hali ya wakimbizi na wahamiaji ilivyo na sera za wakimbizi hapa Ulaya/ Rais wa Uturuki anatarajiwa kuwasili Ujerumani wiki hii kwa ziara ya kiserikali/ Tanzania: Jeshi la Polisi Mkoani Kigoma limetaja kuwa kumekuwepo na ongezeko kubwa la matokeo ya ukatili dhidi ya watoto na wanawake