1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

25.08.2020 Matangazo ya Jioni

SK2 / S02S25 Agosti 2020

Tume ya Taifa ya Uchaguzi nchini Tanzania NEC tayari imewateua na kuwathibitisha wagombea wa nafasi ya urais wa vyama 13// Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani, Mike Pompeo amewasili leo nchini Sudan, akitokea nchini Israel, kwa ziara ya kwanza ya kiongozi wa juu wa Marekani// Ugiriki iko tayari kwa mazungumzo kutatua mvutano na Uturuki.

https://p.dw.com/p/3hUqe