1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

25.08.2018 Taarifa ya habari asubuhi

25 Agosti 2018

Rais Trump amefuta ziara ya Mike Pompeo nchini Korea Kaskazini // Congo imemuondoa Bemba kwenye orodha ya wagombea wa uchaguzi wa rais // Na Umoja wa Mataifa unasema mmiminiko wa wahamiaji kutoka Venezuela unaelekea "hatua ya kuwa mgogoro mkubwa"

https://p.dw.com/p/33jWH