25.06.2019 Matangazo ya Jioni | IDHAA YA KISWAHILI | DW | 25.06.2019
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

IDHAA YA KISWAHILI

25.06.2019 Matangazo ya Jioni

Bolton amesema Trump amefungua mlango wa majadiliano ya kweli kati ya Marekani na Iran/ Mkutano unaosimamiwa na Marekani kuhusu maendeleo ya kiuchumi ya wapalastina umeanza/ Baraza la bunge Ulaya PACE limekubaliana kuwaruhusu wawakilishi wa Urusi kurudi katika bunge hilo/ Maaskofu wa kanisa katoliki nchini Kongo wanaelezea wasiwasi wao/ Nchi za Ulaya kaskazini zinatarajiwa kukumbwa na joto kali

Sikiliza sauti 60:00