25.05.2020 Matangazo ya Jioni | Media Center | DW | 25.05.2020
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Media Center

25.05.2020 Matangazo ya Jioni

Burundi: Chama Cndd Fdd kimebuka ushindi katika uchaguzi wa urais kwa kupata asilimia 68.72 kura katika uchaguzi wa urais/ Libya: Hali nchini Libya inaendelea kuwa tete licha ya juhudi za kimataifa za kupatanisha makundi yanayohasimiana/ Hong Kong: Wakuu wa polisi na idara za usalama wamesema visa vya ugaidi vinaongezeka/ Myanmar yawasilsha ripoti yake ya Rohingya katika mahakama ya ICJ

Sikiliza sauti 60:00