1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

25.03.2021 Taarifa ya habari Asubuhi

Lilian Mtono
25 Machi 2021

Marekani yawaomba washirika wa jumuiya ya kujihami ya NATO kushirikiana katika kupambana na kitisho kinacholetwa na China // Korea Kaskazini yafyatua vifaa vinavyohisiwa kuwa ni makombora kuelekea bahari ya Japan // Na Joe Biden ampa jukumu makamu wake Kamala Harris la kushughulikia mzozo wa wahamiaji

https://p.dw.com/p/3r5Ou