1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

25.03.2020 Matangazo ya Mchana

SK2 / S02S25 Machi 2020

India yatangaza sheria ya kutotoka nje/ Umoja Mataifa: Mikakati ya kushughulikia wakimbizi wapatao zaidi ya milioni moja laki tatu nchini Uganda/ Kaunti ya Nairobi imeondoa ada zote zinazohitajika kutolewa katika vyumba vyote vya kuhifadhia maiti vya umma katika kipindi cha siku saba zijazo/ Mahojiano kujua hali ya maisha ilivyo mtu anapowekwa karantini

https://p.dw.com/p/3a0nc