Congo: Rais Tshisekedi ameitangaza hali ya dharura ya taifa/ Mahojiano kufahamu mengi kuhusiana na athari ya kisiasa na kijamii inayoweza kutokana na mripuko wa virusi vya corona Afrika/ Mapigano yazuka upya mjini Tripoli baina ya makundi hasimu/ Vikosi vya Saudi Arabia vyashutmiwa kwa ukiukaji Yemen/ Uturuki yawashtaki raia 20 wa Saudi kwa kumuua Khashoggi