25.02.2021 Matangazo ya Mchana | Media Center | DW | 25.02.2021
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Media Center

25.02.2021 Matangazo ya Mchana

Licha ya serikali ya Tanzania kukiri kuwepo kwa janga la virusi vya corona nchini humo, viongozi wengi wakiwemo mawaziri wameendelea kupuuza umuhimu wa kuvaa barakoa. Wananchi wasema wanaonesha mfano mbaya// Chama cha riadha nchini Kenya, kimewazuia wanariadha wake kwenda kushiriki mashindano makubwa ya riadha ya Tanzania (Kilimanjaro Marathon).

Sikiliza sauti 60:00