25.02.2021 Matangazo ya Asubuhi | Media Center | DW | 25.02.2021
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Media Center

25.02.2021 Matangazo ya Asubuhi

Maafisa wa Marekani na nchi za Umoja wa Ulaya wanasema safari ya mazungumzo na Iran kuhusu mkataba wa nyuklia wa mwaka 2015 itakuwa ndefu na ngumu// (Jamii ya Kikristo ya Iraq ni moja ya jamii kongwe na yenye madhehebu tofauti zaidi ulimwenguni, ikiwa na Wakaldayo, Orthodox ya Armenia, Waprotestanti na matawi mengine ya kikristo.

Sikiliza sauti 51:59