Nchini Tanzania kumekuwa na hisia tofauti baada ya kuwachiwa huru kwa mwanahabari wa upelelezi Erick Kabendera baada ya kukubali kulipa faini ya zaidi ya shilingi milioni 200 za Kitanzania// Italia: Juhudi za kupambana na Corona zaendelea // Watu 30 wajeruhiwa kwa kugongwa na gari katika sherehe za carnival Ujerumani//Libya- Pande hasimu zasusia mazungumzo ya Geneva.