1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

25.01.2022 Matangazo ya Jioni

SK2 / S02S25 Januari 2022

Rais wa Tanzania Samia Suluhu Hassan leo amekutana na jamii ya wafanyabiashara ndogondogo yaani wamachinga+++Kagame ataka Afrika kushirikiana zaidi kwenye ulinzi wa anga+++Taliban wayasifu mazungumzo ya Oslo+++Ujerumani bado ina kazi kubwa ya kupambana na Ufisadi.

https://p.dw.com/p/4648n