1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

25.01.2018 Matangazo ya Jioni

SK2 / S02S25 Januari 2018

Akishikilia silaha yake ya nadharia ya "Amerika kwanza" rais Donald Trump aliwasili nchini Uswisi leo kutetea ajenda yake hiyo ya kiuchumi katika kongamano la kiuchumi la dunia ambalo linasisitiza biashara na ushirikiano wa kimataifa// Mawaziri wa mambo ya ndani wa Umoja wa Ulaya wamekutana mjini Sophia nchini Bulgaria.

https://p.dw.com/p/2rWGV