1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

24.11.2020 Matangazo ya Mchana

SK2 / S02S24 Novemba 2020

Trump akubali mchakato wa kukabidhi madaraka kwa Biden lakini bado hajakubali kushindwa// Jeshi la Ethiopia linasonga mbele katika mji mkuu wa Tigray, Makele// Mbabe wa vita wa DR Kongo ahukumiwa kifungo cha maisha kwa uhalifu wa kivita// Miaka 12 baada ya ghasia za baada ya uchaguzi mkuu wa mwaka 2007, serikali ya Kenya imechukua hatua ya kufungua upya kesi za wahanga wa ghasia hizo.

https://p.dw.com/p/3lkek