1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

24.10.2019 Matangazo ya Mchana

SK2 / S02S24 Oktoba 2019

Mkutano wa kilele kati ya Urusi na Afrika unamalizika leo mjini Sochi nchini Urusi// Rais Donald Trump wa Marekani ameondoa vikwazo dhidi ya Uturuki, na kufuta ushiriki wa Marekani katika vita nchini Syria// USA- Warepublican wavuruga kikao cha kumchunguza Trump// Juliana Rotich, kutoka Kenya, ndiye mshindi wa tuzo ya Ujerumani kwa ajili ya Afrika, "German Africa Award" ya mwaka huu wa 2019.

https://p.dw.com/p/3Rr6t